Ebenezer TempleHema ya Sifa · Nzuguni ‘B’

Matoleo ya Kidijitali

Toa Popote Ulipo

“Leteni zaka kamili ghalani… mkanijaribu kwa njia hiyo.” – Malaki 3:10

1. Chagua aina ya matoleo
3. Mtandao wa simu

Utapokea ujumbe (USSD) kwenye simu yako – weka PIN kukamilisha. Kanisa halioni wala kuhifadhi PIN yako.